MATATIZO YA MACHO: KONJACTIVA (CONJUCTIVITS): Ni maradhi ya macho sehemu ya utando au ute sehemu ya conjuctiva, ambayo inaunganisha sehemu ya ndani ya jicho na kope. SABABU:
Yanaweza kusababishwa na vumbi, moshi, upepo ulio na ubaridi, kuweza kutumia macho kwa muda mrefu kutizama kwa mfano kusoma, kukaa katika mwanga mkali wa jua, upepo wenye ukavu na ujoto wenye hali ya umoto, mvuke, gesi, moto, kemikali, n.k. DALILI: Kujikuna, kuvimba macho, macho kuwa mekundu, macho kutoa maji au machozi, kuhisi kuna mchanga ndani ya macho, kuogopa mwanga mkali, n.k. TIBA: Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa maji ya baridi. Epusha macho kutokana na joto, baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia katika maumivu ya kichwa na macho.
POWERFUL OIL
UNAJIPAKA USONI, KIFUANI NA KICHWANI KUONDOA NGUVU ZA GIZA NA NUKSI ZILIZOTENGENEZWA NA NGUVU ZA GIZA KAMA MASHETANI NA MAPEPO WA KICHAWI.
KABLA YA KULALA UNAJIPAKA MWILI MZIMA KIASI KWA SIKU SABA.
KAMA UNATAKA KUZUIA WACHAWI WASIKUINGILIE NYUNYIZIA KWENYE NYUMBA YAKO NA MADIRISHA, PEMBE NA MILANGONI NA MCHAWI NA MASHETANI YA KUMSAIDIA HAWATAWEZA KUINGIA NA WAKIFANYA HIVYO KILA MARA WANAKWAMA BASI WATAACHA BAADA YA KUUMIA KWANI MAFUTA YA DAWA ZILIZOBALIKIWA NA MUNGU MUUMBA NA MUWEZA KILA KITU
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
POWERFUL OIL
MT32
TIBA MBADALA
SAFISHA
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
KUONDOA NGUVU ZA GIZA
KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
UCHAWI ULIOKO MWILINI
KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.TIBA MBADALA
TIBA MBADALA(1) DAWA HII MITI 30 IMESAGWA NA UNAKUNYWA KWENYE MAJI MOTO AU CHAI NA INATIBU MAGONJWA KAMA TYPHOID, AMOEBA, VIUNGO KUKOSA NGUVU, MALARIA SUGU, MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME KWANI INAONGEZA UIMARA WA MISHIPA NA KUONDOA ULEGEVU WA MISHIPA
4.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
Kupunguza uzito
Kuondoa uchafu tumboni
Kusaidia kupata choo
Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.
Piga simu au tuma meseji utajibiwa:
+255783020902 au kwa meseji au whatsapp +255718832888
OFISI YETU IKO DSM-TANZANIA
UKIFIKA BUGURUNI-PANDA MAGARI YA VINGUGUTI UKIFIKA KITUO CHA POLISI CHA VINGUGUTI KIITWACHO MTAKUJA SHUKA NA OFISI IKO KARIBU NA NEW KINYUMA HOTEL UTAONA TIBA HERBS RESEARCH. UTAPATA MADAWA, USHAURI NA TIBA NYINGINEZO.
Kama ni mmojawapo una dalili hizi:
kuhisi vitu vinatembea mwilini
Miguu kuwaka moto
baadhi ya viuongo kufa bila sababu ya kitaalamu
kuhisi kila mara huna nguvu na malaria wala typhoid ukima mara kadhaa haipo
Unabanwa kifua na hali hauna athma au tatizo linatokea na kurudi
Kupata hedhi kwa shida au mfululizo bila kukoma
Kuumwa chini ya kitovu na ukipima hana minyoo kabisa
Kuhisi tumbo lina vitu vinanguruma na kuviringika kama unayomimba hii ni kwa wanawanake na wanaume
Kutoka mimba mara kwa mara bila sababu za kitaalamu
Kuota ndoto za kutisha
Kuota unafanya mapenzi na watu au mtu au mnyama
Kutingisha mwili wakati unakaribia kusinzia na unastuka
Kuota nyoka au paka anakuuma mara kwa mara
Kuota umebeba watoto
Kuota unapewa nyama au chakula
Kuota upo msituni mara kwa mara
Kuota ajali mara kwa mara
Kuota unaongea na watu waliokufa
Kuota unajisaidia chooni au uko chooni
Kuota uko makaburini
kuchukiwa na kila mtu bila sababu hasa mke au mme, ndugu, bosi wako kazini, wateja
Kukuta umechanjwa usiku na unayo mikwaruzo mikubwa au midogo
Kukata tamaa kila mara na kutaka kujiua
Kutoona ubaoni na ukiwa nje unaona vizuri
Kuwa mvivu bila sababu na ulikuwa mchapa kazi uko nyuma.
dalili hizi mara nyingi ni zakuwa umelogwa au una majini wanakusumbua ili usitulie na kuwa na Amani.
MARADHI YA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION):
Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza kutoka baada ya siku moja au mbili au zaidi na ikitoka huwa ni kigumu na hutoka kwa shida na wakati mwingine huwa kama cha mbuzi. Wagonjwa wengine hupata maumivu wakati wa kwenda haja kubwa. Mtu mwenye afya nzuri hupata haja kubwa kwa kiwango cha chini mara moja kwa siku. Na choo huwa laini na hutoka bila matatizo. SABABU ZA MARADHI HUSIKA: (1) Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B. (2) Maradhi ndani ya utumbo mpana. (3) Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano. (4) Upungufu wa ulaji matunda na mboga. (5) Kutokunywa maji ya kutosha. (6) Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi. (7) Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.
TIBA: Kanuni ya kwanza:
Chukua glasi moja ya maziwa freshi baridi uchanganye na vijiko viwili vikubwa vya asali na kijiko kimoja kidogo cha mafuta ya habitsoda. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Dawa hii hufanya choo kuwa laini na kupata haja kubwa kwa wepesi.
Kanuni ya pili: Unga wa sanamaki kijiko kimoja kikubwa, Unga wa tangawizi kijiko kimoja kikubwa, Unga wa habasoda kijiko kimoja kikubwa, na Asali robo lita. Dawa hizi zote zichanganye pamoja kwa kukoroga kwa kijiko. Kula kijiko kimoja kutwa mara tatu.
Kanuni ya tatu: Asali robo lita, na Unga wa Arki susi vijiko vinne vikubwa. Kula vijiko viwili vikubwa kutwa mara mbili.
Kanuni ya nne: Kunywa kwa wingi maji ya kunywa ya kutosha na pia ule kwa wingi matunda na mboga.
Kanuni ya tano: Kula kila siku asubuhi tende saba kabla ya chakula cha asubuhi. Tende hufanya choo kuwa laini. H. MARADHI YA
KUHARISHA: MARADHI ya kuharisha ni maradhi ambayo mgonjwa hupata haja kubwa mara kwa mara na haja kubwa huwa laini na wakati mwingine huambatana na gesi au maumivu. SABABU ZAKE: (1) Kula chakula kichafu. (2) Kula chakula kilichoingia viini vya maradhi.
TIBA: Kanuni ya kwanza: Chukua kijiko kimoja cha Maua ya babu naji (chamomile) ukoroge ndani ya kikombe cha chai na maji ya moto. Yakishapoa unywe bila ya kuongeza sukari.Fanya hivyo kutwa mara tatu. Ndani ya babunaji mna virutubisho vyenye uwezo wa kusitisha kuharisha.
Kanuni ya pili: Chukua anisuni (aniseed) kijiko kimoja kidogo uweke ndani ya kikombe kimoja cha chai cha maji ya moto yaliyochemka kisha ukoroge. Wacha dawa ikae ndani ya maji dakika tano kisha uchuje halafu uongeze asali kijiko kimoja. unywa kikombe kimoja kutwa mara mbili. Zaidi ya hayo, tukuweke wazi tu kuwa, dawa hii pia huvipa nguvu jamii ya viungo vya kulia chakula.
Kanuni ya tatu: Chukua majani ya nanaa na utayarishe dawa kama mfano wa hapo juu kuhusu anisuni.
Kanuni ya nne: Chukua zaatar na uandae dawa kama mfano wa hapo juu kuhusu majani ya nanaa na anisuni.
Kanuni ya tano: Changanya kijiko kimoja cha mafuta ya habat soda ndani ya glasi moja ya maziwa ya mtindi unywe glasi moja kutwa mara mbili.
KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA: Hali ya kujisikia kuwa unataka kutapika lakini hutapiki inaitwa kichefuchefu (Nausea). Hali hii ni kawaida sana hasa wakati unaposafiri kwa chombo kama meli au ndege, hali ya ujauzito,kupata harufu mbaya, kuona au kuhisi kinyaa baada
ya kuona kitu au chakula Fulani kibaya chenye ladha na harufu mbaya, wengine hupata kichefuchefu akimuona mtu mwengine akitapika. Hali ya kichefuchefu humsababishia mtu kuweza kutapika wakati mwingine.
TIBA: Chukua kijiko kimoja kidogo cha unga wa pilipili manga ukoroge ndani ya glasi moja ya maji halafu ukamulie ndani yake ndimu nusu. Kunywa glasi moja kutwa mara tatu.
MARADHI YA GESI TUMBONI (COLIC): Msokoto wa tumbo
Ikiwa mtu atakula kwa wingi vyakula vinavyoleta gesi halafu vyakula hivyo visisagike vizuri tumboni, hukusanya gesi tumboni na kufanya mingurumo humo na kumsababishia maumivu, humkosesha mtu utulivu na kumfanya kutoka jasho na machovu bila ya
kufanya kazi. Mtu hujisikia mara kwa mara aende haja kubwa na akienda hapati choo. Pia humsababishia mtu kuumwa kwa mgongo au kiuno. Ikiwa gesi hii itakosa kutoka kwa njia ya haja kubwa, basi yaweza kupanda juu na kufanya presha sehemu au
karibu ya moyo na kusababisha maumivu ya moyo. TIBA: Chukua asali robo lita , unga wa arki susi vijiko vitatu vikubwa na unga wa habat soda vijiko viwili vikubwa. Koroga zote pamoja kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto halafu yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili asubuhi na jioni.
Hemorrhoids, Pils, MARADHI YA BAWASIRI (MGORO) FUTURU: Haya ni maradhi ambayo humsibu mgonjwa sehemu ya haja kubwa ambayo humsababisha kupata maumivu. DALILI ZAKE: (1) Kupata choo kigumu. (2) Kutokwa damu sehemu ya haja
kubwa baada ya kujisaidia. (3) Muwasho au maumivu na joto kali sehemu ya bawasiri. (4) Kupata maumivu wakati unapokaa. (5) Vidonda au kutokwa nje na kijinyama sehemu ya kutokea haja kubwa. (6) Upungufu wa nguvu za kiume. TIBA: Jambo la kwanza
kabla ya tiba mgonjwa aweze kutibiwa maradhi ya kutopata choo vizuri ikiwa anayo kwa sababu huzidisha maradhi haya. Pia epuka kula Nyama hasa ya ngombe, Pilipili na vitu vikali. Halkadhalika usinywe maziwa kwa wingi.
Kanuni ya kwanza: Kunywa juisi ya tikiti maji asubuhi kabla ya chakula na usiku kabla ya kulala.Dawa hii hutibu na kuondoa maumivu ya bawasiri.
Kanuni ya pili: Chukua Asali nusu lita , unga wa kamun Aswad vijiko vitatu vikubwa,unga wa Habat soda vijiko vitatu vikubwa na unga wa kamun abyadh (Binzari nyeupe)vijiko viwili vikubwa. Vitu vyote hivi vichanganye pamoja kwa kuvikoroga kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu kisha ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa uchuje halafu unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Ikiwa ni bawasiri ya kutoka nje au yenye vidonda, paka mafuta ya nyonyo au mafuta ya lozi. (Almond oil).
MARADHI YA VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer. DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwaupande wa ndani. (2) Kuchoka bila sababu. (3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno. (4) Kupungua kwa nguvu za kiume. (5) Kuwa na
kichefuchefu baadhi ya wakati. (6) Kuwa na kiungulia . (7) Tumbo kujaa gesi. (8) Tumbo kuwaka moto. (9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi. (10) Kukosa hamu ya kula. (11) Kutapika damu au wakati mwingine
kutapika nyongo. (12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.
TIBA: Kanuni ya kwanza: Chukua asali robo lita uchanganye na unga wa arki susi vijiko vinne vikubwa kisha ukoroge kwa mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu.
Kanuni ya pili: Chukua viazi vya mviringo (vya chipsi) kama vitatu halafu uvikoshe na kuvimenya. Baada ya kuvimenya upate juisi yake kwa kuvisaga kwenye blenda. Kunywa vijiko vitatu vikubwa vya chakula kutwa mara mbili.
Kanuni ya tatu: Chukua lozi gramu 30 halafu usage iwe unga. Changanya lozi hii yote ndani ya kikombe kidogo cha maziwa ya moto kisha uongeze asali vijiko viwili vikubwa. Kunywa kikombe kimoja robo saa kabla ya kula chakula cha asubuhi. Fanya hivyo kwa muda wa mwezi na utapata shifaa.
MATATIZO YA HEDHI: Matatizo ya Hedhi yanawagusa moja kwa moja
hata hivyo nayo yana tiba yake inayolingana na aina ya tatizo husika.
TIBA YA HEDHI ILIYOFUNGA (AMENERRHOEA): Kanuni ya kwanza: Tafuna ufuta kiasi cha kijiko kimoja kila siku mara tatu. Fanya hivyo hadi upate hedhi. Ni bora zaidi kula ufuta kabla ya zile siku ambazo hedhi hutoka na uendelee wakati inapotoka hedhi. Dawa hii ni hatari kwa mwanamke mja mzito, hivyo atahadhari nayo,na tangu hapoyeye haimuhusu.
Kanuni ya pili: Chukua Harmal gramu 50, uchemshe ndani ya maji lita moja. Ikishapoa uichuje. Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara mbili kwa muda wa siku tatu.
TIBA YA HEDHI ISIYOTOKA VIZURI: Chukua Jirjir (rocket) kijiko kimoja ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa uchuje. Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara tatu.
TIBA YA HEDHI INAYOTOKA KWA WINGI ZAIDI YA ADA:
TIBA Kanuni ya kwanza Chukua kijiko kimoja cha maua ya Babunaji (Chamomile) ukoroge ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto. Yakishapoa, unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu kabla ya kula.
Kanuni ya pili: Chukua zaatar kijiko kimoja kikubwa cha chakula ukoroge ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto. Kunywa kikombe cha chai kutwa mara tatu.
TIBA YA MAUMIVU YA HEDHI YANAYOTOKA KIDOGOKIDOGO (DYSMENORRHOEA): Kanuni ya kwanza: Chukua nanaa na utayarishe mfano wa chai. Kunywa kikombe kimoja cha chai kutwa mara tatu.
Kanuni ya pili: Chukua mvuje wa kidonge (kidonge kimoja ) na unga wa pilipili manga (black Peper) gramu 50. Weka dawa hizi mbili ndani ya glasi moja ya maji kisha uifunike na uiache ilowane. Bila ya kuchuja kunywa kijiko kimoja kikubwa kutwa mara moja .Rudia tena kunywa siku ya pili ikiwa hujapata mabadiliko.Dawa hii huzibua hedhi iliyoganda au kufunga.
TIBA YA HEDHI INAYOCHELEWA KUTOKA KWA SIKU ZAKE AU KUTOKA KABLA YA SIKU ZAKE KUFIKA: Hapa maana yake ni kuwa baina ya hedhi mbili huenda yakakaribiana sana au kuachana sana kinyume na ada. Yaani siku za tarehe zake haziendi sawa Chukua bakdonise (parsley) gramu 50 kisha uweke ndani ya maji lita moja, ichemshe kwa muda wa dakika tano na ikishapoa uchuje. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili.
MARADHI YA MATATIZO YA MKOJO: UCHAFU kutoka mwilini hutolewa nje ya mwili kwa mfumo wa mkojo, kinyesi, jasho kupitia kwenye ngozi. Ikiwa kutatokea kizuizi chochote cha kuzuia uchafu kutoka mwilini sumu ya uchafu huu baadae huchanganyikana na damu na kusababisha maradhi mbalimbali.Figo ni kiungo ambacho hutoa sumu mwilini kupitia njia ya mkojo. VIJIWE VYA KIBOFU CHA MKOJO (DYSURIA): Maradhi haya hutokea kwa kupatikana vijiwe kwenye kibofu cha mkojo. Vijiwe hivi huzuia mkojo kutoka vizuri na kufa yatoke matone matone.
SABABU: (1) Kula nafaka mbichi kwa mfano: mchele, mahindi, njugu karanga, n.k. (2) Vyakula vilivyoisha muda wake wa matumizi au vyakula vyenye viwango vya chini ambavyo havistahiki kuliwa na binadamu. (3) Vyakula vigumu ambavyo tumbo haliwezi kusaga vizuri na hata likisaga, litasaga kwa mashaka kwa mfano chakula ambacho hakijaiva vizuri au nyama ngumu. (4) Kutotafuna chakula vizuri kwa sababu ndani ya tumbo hamna meno, kwa hivyo utalipa tumbo kazi ya ziada.
TIBA: Kanuni ya kwanza: Chukua mbegu za matango vijiko vitano vikubwa na mbegu za tikiti maji vijiko vitano vikubwa uchemshe kwenye maji robo lita. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili.
Kanuni ya pili: Chukua nusu kijiko cha chai cha unga wa sufa , unga wa sukari mawe na unga wa shubiri sokotori(dukhani). Vyote vichanganye pamoja. Bugia kijiko kimoja kidogo halafu unywe maji glasi moja asubuhi kabla ya chakula na usiku kabla ya kulala.
MKOJO AMBAO HAUTOKI AU HUTOKA MATONE: Kanuni ya kwanza: Chukua kikombe kimoja cha uji wa ngano uchanganye na kijiko kimoja kidogo cha unga wa uwatu na kijiko kimoja kikubwa cha samli safi ya ngombe. Koroga kwa kijiko. Kunywa kikombe kimoja kutwa mara mbili. Dawa hii hutibu mkojo ambao hautoki au hutoka matone madogo.
KUTOKWA KWA MKOJO KWA WINGI BILA YA KHIARI (POLYURIA): Haya ni maradhi ya kutokwa na mkojo bila ya khiari . Kabla mkojo haujakusanyika vizuri kwenye kibofu cha mkojo na mgonjwa kujiandaa kwenda25
chooni, hutokwa na mkojo hata kabla ya kufika chooni. SABABU: (1) Kulegea kwa kibofu cha mkojo. (2) Maradhi ya kisukari. (3) Kuwa na minyoo tumboni. (4 Kutumia madawa ambayo huchochea kutokwa kwa mkojo. (5) Kuwa katika mazingira au hali ya
hewa ya baridi. (6) Kunywa kwa wingi vinywaji, pombe,n.k.
TIBA: Kanuni ya kwanza: Chukua kijiko kimoja kidogo cha chai cha unga wa harmal, vijiko viwili vikubwa vya unga wa tangawizi,kijiko kimoja cha unga wa mdalasini na vijiko viwili vikubwa vya unga wa pilipili manga. Vichanganye vyote pamoja. Changanya kijiko kimoja cha chai ndani ya kikombe cha maji ya moto ukoroge na yakishapoa unywe kikombe kimoja
kutwa mara mbili asubuhi kabla ya chakula.
Kanuni ya pili: Pika majani ya matango kisha unywe robo kikombe cha chai kutwa mara tatu. Kanuni ya tatu: Chukua Bizrulqutni vijiko vitatu vikubwa uchemshe ndani ya maji lita moja na nusu. Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara mbili.
KIKOJOZI: Kikojozi ni mtu ambae hukojoa kitandani usiku au mchana wakati anapokua amelala usingizi. Anaweza kuwa mtoto au mtu mzima. SABABU: Sababu kubwa za mtu kuwa kikojozi ni pamoja na Kulegea kwa kibofu cha mkojo Kuota usingizini kuwa mtu anakojoa, na kuwa na usingizi mzito kuliko kiasi.
KULEGEA KIBOFU: Ikiwa kibofu cha mkojo kimelegea mkojo utakua hauna kizuizi cha kuzuia unapokua umeshakusanyika kwenye kibofu.
TIBA: Chukua asali nusu lita, unga wa kamun aswad vijiko sita vikubwa na unga wa habat soda vijiko vitatu vikubwa halafu ukoroge vyote pamoja. Chota vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu wa dawa ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto halafu unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili.
KUKOJOA KWA SABABU YA NDOTO: Sifa ya mtu anayekojoa kitandani akiwa usingizini anaweza akaota kuwa amekwenda chooni kukojoa lakini akiamka asubuhi anajikuta kuwa amekojoa kitandani, na anapokuwa anakojoa kitandani huwa anahisi raha wakati ule wa kukojoa.
SABABU:
Hii huwa ni athari za ndoto za kishetani kwa sababu shetani humuotesha ndoto za kukojoa na akamkojoza kwa kihakika. Hali hii pia huwatokea watu wazima bila kujali jinsia wala umri, wazima au wagonjwa.
TIBA: ( Kwa aliyekuwa ni muislam)Hakikisha umeshika udhu kabla ya kulala halafu usome kabla ya kulala Ayatul Qursii, Suratul-Ikhlas, Suratul Falaq na Suratul Nas mara tatu tatu kama inavyosema hadithi. Pia kabla ya kulala uombe dua ya kulala. Ukifanya hivyo shetani atakaa mbali nawe na ndoto hizi hazitatokea tena.
ANAEKOJOA KWA SABABU YA USINGIZI MZITO: Hali kama hii huwatokea watoto ambao hucheza sana mchana kisha wakachoka. Wanapoenda kulala huwa wamechoka sana na hata usiku wakati wamelala hawawezi kupata hisia ya kutaka kwenda kukojoa chooni kwa sababu wamezidiwa na usingizi.
TIBA: Tiba yake ni mtoto aweze kupunguza mchezo na aweze kulala kidogo mchana kama ilivyo katika mafundisho ya sunnah. Tiba ya pekee ni mtoto adhibitiwe na kupangiwa ratiba za kucheza, na kupangiwa muda wa kutosha kuweza kupumzika, ikiwezekana alale mchana kidogo.

0 comments:
Post a Comment