
MATATIZO YA MACHO: KONJACTIVA (CONJUCTIVITS): Ni maradhi ya macho sehemu ya utando au ute sehemu ya conjuctiva, ambayo inaunganisha sehemu ya ndani ya jicho na kope. SABABU:
Yanaweza kusababishwa na vumbi, moshi, upepo ulio na ubaridi, kuweza
kutumia macho kwa muda mrefu kutizama kwa mfano kusoma, kukaa katika
mwanga mkali wa jua, upepo wenye ukavu na ujoto wenye hali ya umoto,
mvuke, gesi, moto, kemikali, n.k. DALILI: Kujikuna, kuvimba...